Carousel (4 items)
Mke wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, Germina Lukuvi, ametoa salamu za shukrani kwa serikali na Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya familia ya Lukuvi, kwa kufanikisha mazishi ya kitaifa ya mumewe aliyefariki dunia Machi 25, 2026. Katika salamu hizo za shukrani, familia hiyo imeelekeza shukrani za dhati kwa viongozi wote wa dini walioshiriki kuongoza Ibada za Misa Takatifu kuanzia Dodoma, Dar es Salaam, Iringa Mjini, na Idodi, bila kuwasahau viongozi wa kimila wakiongozwa na Chifu wa Wahehe, Mtwa Adam Abdul Adam Sapi Mkwakwa. Aidha, Germina amewashukuru wote walioonyesha ushirikiano wakati familia hiyo ikipitia kipindi hicho kigumu, ikiwemo wake wa viongozi (Millenium Group), madaktari na wauguzi, vyombo vya habari, wananchi wa jimbo la Isimani, na wananchi wote wa Tanzania.
Likes
الرسم
ممّول
Performance
434
Current Likes
—
Since Page Load
+0
Per Minute
+0
Per Hour
0.02%
Engagement Rate
1.61%
Comment Rate
Performance monitor
Next Likes Milestone
34.00%
0
0
0
0
تفاصيل المنشور
Caption
Mke wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, Germina Lukuvi, ametoa salamu za shukrani kwa serikali na Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya familia ya Lukuvi, kwa kufanikisha mazishi ya kitaifa ya mumewe aliyefariki dunia Machi 25, 2026. Katika salamu hizo za shukrani, familia hiyo imeelekeza shukrani za dhati kwa viongozi wote wa dini walioshiriki kuongoza Ibada za Misa Takatifu kuanzia Dodoma, Dar es Salaam, Iringa Mjini, na Idodi, bila kuwasahau viongozi wa kimila wakiongozwa na Chifu wa Wahehe, Mtwa Adam Abdul Adam Sapi Mkwakwa. Aidha, Germina amewashukuru wote walioonyesha ushirikiano wakati familia hiyo ikipitia kipindi hicho kigumu, ikiwemo wake wa viongozi (Millenium Group), madaktari na wauguzi, vyombo vya habari, wananchi wa jimbo la Isimani, na wananchi wote wa Tanzania.
Posted
April 14, 2026, 05:46 PM
Dimensions
1080 × 1350
Unique Commenters
6
Post ID
3875274664901956176
منشورات أخرى من @tbc_online
تتبع منشور آخر
Paste an Instagram post or reel URL to view its live counters
Feature this post in the Sponsored section
Reach 100,000+ daily Instagram enthusiasts with your post displayed to real users browsing our site every day.
How to Track a Post or Reel
1
Open Instagram
Open the Instagram app or website and navigate to the post or reel you want to track.
2
Copy the Link
Tap the share button (paper plane icon) or the three dots (...) menu and select "Copy link".
3
Paste Here
Paste the copied URL into the search box above and click "Go". That's it!
4
Watch Live
See views, likes, comments, and shares update in real-time every 5 seconds.
رائج
Frequently Asked Questions
© 2016-2026 Instastatistics LLC
Public statistical data shown on this website is sourced from third-party services and public endpoints. Instagram does not control, approve, or endorse how this data is presented on Instastatistics.
The name "Instagram" is used for contextual and descriptive purposes only. Instastatistics is not affiliated with, endorsed by, or sponsored by Instagram or Meta Platforms, Inc.
Quick Links