Carousel (2 items)
Redmi A7 Pro rasmi imeanza kuuzwa Tanzania Xiaomi Tanzania inajivunia kutangaza uzinduzi rasmi wa simu mpya ya Redmi A7 Pro, ambayo imeingia sokoni leo Aprili 30, 2026. Simu hii imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji zaidi ubora, nguvu na muonekano wa kisasa, ambapo Redmi A7 Pro inakuja na skrini kubwa ya inchi 6.9 inayotoa uzoefu mpana na wa kuvutia kwa ajili ya burudani, kuvinjari mtandaoni na matumizi ya kila siku. Pia ina prosesa yenye nguvu ya octa-core inayohakikisha matumizi laini bila kusuasua, na simu hii ina betri kubwa ya 6,000mAh inayokuwezesha kuitumia siku nzima bila kuhangaika na kuchaji mara kwa mara. Inatumia mfumo wa Xiaomi HyperOS unaotoa matumizi rahisi, ya haraka na yenye akili zaidi, ambapo kwa wapenda picha, Redmi A7 Pro ina kamera ya 13MP AI dual camera inayokuwezesha kupiga picha zilizo wazi na zenye ubora unaovutia. Muundo wake mwembamba na wa kuvutia unaifanya simu hii kuonekana ya kipekee na ya kisasa kila unapoitumia. Kwa Redmi A7 Pro, Xiaomi inaendelea kuleta teknolojia bora kwa bei nafuu kwa watumiaji wengi zaidi. Redmi A7 Pro inapatikana rasmi kuanzia leo Aprili 30, 2026 kupitia maduka yote ya Xiaomi na washirika wake. Kwa maelezo zaidi tembelea @xiaomi_tzofficial au piga/WhatsApp 0767160164.
Likes
Grafico
Sponsorizzato
Performance
25
Current Likes
—
Since Page Load
+0
Per Minute
+0
Per Hour
0.00%
Engagement Rate
4.00%
Comment Rate
Performance monitor
Next Likes Milestone
50.00%
0
0
0
0
Dettagli post
Didascalia
Redmi A7 Pro rasmi imeanza kuuzwa Tanzania Xiaomi Tanzania inajivunia kutangaza uzinduzi rasmi wa simu mpya ya Redmi A7 Pro, ambayo imeingia sokoni leo Aprili 30, 2026. Simu hii imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji zaidi ubora, nguvu na muonekano wa kisasa, ambapo Redmi A7 Pro inakuja na skrini kubwa ya inchi 6.9 inayotoa uzoefu mpana na wa kuvutia kwa ajili ya burudani, kuvinjari mtandaoni na matumizi ya kila siku. Pia ina prosesa yenye nguvu ya octa-core inayohakikisha matumizi laini bila kusuasua, na simu hii ina betri kubwa ya 6,000mAh inayokuwezesha kuitumia siku nzima bila kuhangaika na kuchaji mara kwa mara. Inatumia mfumo wa Xiaomi HyperOS unaotoa matumizi rahisi, ya haraka na yenye akili zaidi, ambapo kwa wapenda picha, Redmi A7 Pro ina kamera ya 13MP AI dual camera inayokuwezesha kupiga picha zilizo wazi na zenye ubora unaovutia. Muundo wake mwembamba na wa kuvutia unaifanya simu hii kuonekana ya kipekee na ya kisasa kila unapoitumia. Kwa Redmi A7 Pro, Xiaomi inaendelea kuleta teknolojia bora kwa bei nafuu kwa watumiaji wengi zaidi. Redmi A7 Pro inapatikana rasmi kuanzia leo Aprili 30, 2026 kupitia maduka yote ya Xiaomi na washirika wake. Kwa maelezo zaidi tembelea @xiaomi_tzofficial au piga/WhatsApp 0767160164.
Pubblicato
April 30, 2026, 08:46 AM
Dimensions
1080 × 1350
Post ID
3886599490325255123
Altri post di @tbc_online
Traccia un altro post
Paste an Instagram post or reel URL to view its live counters
Feature this post in the Sponsored section
Reach 100,000+ daily Instagram enthusiasts with your post displayed to real users browsing our site every day.
How to Track a Post or Reel
1
Open Instagram
Open the Instagram app or website and navigate to the post or reel you want to track.
2
Copy the Link
Tap the share button (paper plane icon) or the three dots (...) menu and select "Copy link".
3
Paste Here
Paste the copied URL into the search box above and click "Go". That's it!
4
Watch Live
See views, likes, comments, and shares update in real-time every 5 seconds.
Di tendenza
Frequently Asked Questions
© 2016-2026 Instastatistics LLC
Public statistical data shown on this website is sourced from third-party services and public endpoints. Instagram does not control, approve, or endorse how this data is presented on Instastatistics.
The name "Instagram" is used for contextual and descriptive purposes only. Instastatistics is not affiliated with, endorsed by, or sponsored by Instagram or Meta Platforms, Inc.
Quick Links