팔로워 카운터
조회수 카운터

Carousel (19 items)

Taasisi yetu ya CRDB Bank Foundation kwa ushirikiano na Mbunge wa Viti Maalumu ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Mheshimiwa Dkt. Neema Majule, imetenga zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kuwawezesha vijana na wanawake wajasiriamali pamoja na makundi maalumu mkoani Dodoma. Akikabidhi mfano wa hundi wa mikopo hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wetu wa CRDB Bank Foundation, TullyEsther Mwambapa amesema tangu ushirikiano huo ulipoanza mapema Februari, tayari wamefika kwenye kata zote 209 za Mkoa wa Dodoma ambako zaidi ya wajasiriamali 5,300 kutoka vikundi 50 wamefikiwa na kupewa elimu ya fedha. Kati ya vikundi 50 tulivyovifikia, vikundi 16 vimekidhi vigezo vya kupewa mkopo vikiwahusisha wanachama 80 ambao tayari wameidhinishiwa zaidi ya shilingi milioni 113.975. Licha ya uwezeshaji huo wa fedh ataslimu kwa ajili ya kukuza biashara za wajasiriamali waliokidhi vigezo, Taasisi pia imekabidhi vitimwendo 25 kwa Taasisi RhemaEduction Foundation inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Majule. Mheshimiwa Dkt. Neema Majule ameishukuru CRDB Bank Foundation kwa umakini iliouonyesh akwa kipindi chote cha kuzunguka katika kata zote 209 za Mkoa wa Dodoma na kuzungumza na wajasiriamali akisema wamekutana na watu wenye nia ya kukuza biashara zao.

79

Likes

The 조회수 count is showing 0 because the owner may have restricted visibility or made counts private.

그래프

Performance

Posted Apr 14, 2026

79

Current Likes

Since Page Load

+0

Per Minute

+0

Per Hour

0.35%

Engagement Rate

2.53%

Comment Rate

Performance monitor

Next Likes Milestone

70

90.00%

79
80

0

Days

0

Hours

0

Minutes

0

Seconds
Loading ad...

게시물 상세

Carousel (19 slides)

Caption

Taasisi yetu ya CRDB Bank Foundation kwa ushirikiano na Mbunge wa Viti Maalumu ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Mheshimiwa Dkt. Neema Majule, imetenga zaidi ya shilingi bilioni 1 kwa ajili ya kuwawezesha vijana na wanawake wajasiriamali pamoja na makundi maalumu mkoani Dodoma. Akikabidhi mfano wa hundi wa mikopo hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wetu wa CRDB Bank Foundation, TullyEsther Mwambapa amesema tangu ushirikiano huo ulipoanza mapema Februari, tayari wamefika kwenye kata zote 209 za Mkoa wa Dodoma ambako zaidi ya wajasiriamali 5,300 kutoka vikundi 50 wamefikiwa na kupewa elimu ya fedha. Kati ya vikundi 50 tulivyovifikia, vikundi 16 vimekidhi vigezo vya kupewa mkopo vikiwahusisha wanachama 80 ambao tayari wameidhinishiwa zaidi ya shilingi milioni 113.975. Licha ya uwezeshaji huo wa fedh ataslimu kwa ajili ya kukuza biashara za wajasiriamali waliokidhi vigezo, Taasisi pia imekabidhi vitimwendo 25 kwa Taasisi RhemaEduction Foundation inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Majule. Mheshimiwa Dkt. Neema Majule ameishukuru CRDB Bank Foundation kwa umakini iliouonyesh akwa kipindi chote cha kuzunguka katika kata zote 209 za Mkoa wa Dodoma na kuzungumza na wajasiriamali akisema wamekutana na watu wenye nia ya kukuza biashara zao.

Posted

April 14, 2026, 01:18 PM

Dimensions

1080 × 719

Unique Commenters

2

Post ID

3875139807114722298

@crdbbankfoundation의 다른 게시물

Loading ad...

다른 게시물 추적

Paste an Instagram post or reel URL to view its live counters

Feature this post in the Sponsored section

Reach 100,000+ daily Instagram enthusiasts with your post displayed to real users browsing our site every day.

Get Featured

How to Track a Post or Reel

1

Open Instagram

Open the Instagram app or website and navigate to the post or reel you want to track.

2

Copy the Link

Tap the share button (paper plane icon) or the three dots (...) menu and select "Copy link".

3

Paste Here

Paste the copied URL into the search box above and click "Go". That's it!

4

Watch Live

See views, likes, comments, and shares update in real-time every 5 seconds.

Frequently Asked Questions

© 2016-2026 Instastatistics LLC

Public statistical data shown on this website is sourced from third-party services and public endpoints. Instagram does not control, approve, or endorse how this data is presented on Instastatistics.

The name "Instagram" is used for contextual and descriptive purposes only. Instastatistics is not affiliated with, endorsed by, or sponsored by Instagram or Meta Platforms, Inc.

Quick Links

Terms of ServicePrivacy Policy