Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), linautaarifu umma kuwa halihusiki na taarifa inayosambaa mitandaoni ikiwa na utambulisho feki wa TBC, kuhusu Idadi ya vifo vya wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuwa 10,518. TBC linauomba umma kuipuuza taarifa hiyo yenye lengo la kuipotosha jamii na kuendelea kufuatilia kurasa zake za mitandaoni zilizothibitishwa ili kupata taarifa zenye "Ukweli na Uhakika". Aidha, TBC inatoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kinachohusika na upotoshaji huu, kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa mara moja dhidi ya yeyote atakayebainika kuhusika na vitendo hivyo.
Likes
Graph
Sponsored
Performance
451
Current Likes
—
Since Page Load
+0
Per Minute
+0
Per Hour
0.03%
Engagement Rate
28.60%
Comment Rate
Performance monitor
Next Likes Milestone
51.00%
0
0
0
0
Post Details
Caption
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), linautaarifu umma kuwa halihusiki na taarifa inayosambaa mitandaoni ikiwa na utambulisho feki wa TBC, kuhusu Idadi ya vifo vya wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuwa 10,518. TBC linauomba umma kuipuuza taarifa hiyo yenye lengo la kuipotosha jamii na kuendelea kufuatilia kurasa zake za mitandaoni zilizothibitishwa ili kupata taarifa zenye "Ukweli na Uhakika". Aidha, TBC inatoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kinachohusika na upotoshaji huu, kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa mara moja dhidi ya yeyote atakayebainika kuhusika na vitendo hivyo.
Posted
April 23, 2026, 12:42 PM
Dimensions
1080 × 1350
Post ID
3881645094168553678
More Posts from @tbc_online
Track Another Post
Paste an Instagram post or reel URL to view its live counters
Feature this post in the Sponsored section
Reach 100,000+ daily Instagram enthusiasts with your post displayed to real users browsing our site every day.
How to Track a Post or Reel
1
Open Instagram
Open the Instagram app or website and navigate to the post or reel you want to track.
2
Copy the Link
Tap the share button (paper plane icon) or the three dots (...) menu and select "Copy link".
3
Paste Here
Paste the copied URL into the search box above and click "Go". That's it!
4
Watch Live
See views, likes, comments, and shares update in real-time every 5 seconds.
Trending
Frequently Asked Questions
© 2016-2026 Instastatistics LLC
Public statistical data shown on this website is sourced from third-party services and public endpoints. Instagram does not control, approve, or endorse how this data is presented on Instastatistics.
The name "Instagram" is used for contextual and descriptive purposes only. Instastatistics is not affiliated with, endorsed by, or sponsored by Instagram or Meta Platforms, Inc.
Quick Links